Friday, January 19, 2018

jinsi ya kunyoa uke bila kuacha upele The third post

Jinsi ya kunyoa uke bila kuacha upele au mapele The third post.
Entertainment places in Dar es salaam, Kivukoni, Posta near Hindi ocean You can enjoy good environment there are good hotels and delicious food, We know many hotels in dar like cerena hotel, Pea cock hotel and other big hotels like mike hotel. Welcome to dar and enjoy life.


Today you can leave in Morogoro town and go to enjoy in Dar es salam hotels, In Morogoro there are big hotels like Mount meru hotels ashok, hotel Msavu, hotel and other big hotels, You can go to mount uluguru hotel and enjoy delicious food on there. Learn below today's topic
Image result for kunyoa nywele ukeni photo
Jinsi ya kunyoa uke

jinsi ya kunyoa uke kwa kutumia asali,jinsi ya kunyoa nywele za kwapa, Jinsi ya kunyoa nywele sehemu za siri 


Mavuzi huamsha ashiki

Kulingana na Charles, mwanamke aliyeotesha nywele hizi huamsha nyege zaidi akilinganishwa na yule aliyezinyoa kabisa.

“Wakati wa mahaba, nywele hizi zitakupa hisia kuwa mwenzako ni mwanamke kamili, tofauti na binti aliyenyooka kabisa katika sehemu hii,” asema.

Lakini kulingana na Vincent, mhudumu katika duka moja la jumla jijini Nairobi, hakuna raha inayotokana na mgusano wa nywele hizo wakati wa mahaba. Anasema kuwa mkwaruzo huo huhusishwa na jinsia ya kiume kumaanisha kuwa mwanamke anapaswa kuwa laini vilivyo. Kulingana naye nywele hizo ni ishara ya uchafu na kuwa mwanamke huyo hajishughulikii vizuri.
Japo hakubaliani na sehemu hiyo kufanana na kichaka, James, mchuuzi wa bidhaa za rejareja jijini anasema kuwa binti anaponyoa hapaswi kuziondoa zote.

“Badala ya kunyoa kabisa, zipunguze kuhakikisha kuwa sehemu hiyo haikwaruzi wakati wa mahaba na wakati huo huo zile hisia za mapenzi zinadumishwa,” aeleza.Jecinter, mhudumu wa saluni moja viungani mwa jiji la Nairobi, asema kuwa nywele hizo ni kero kwani husababisha changamoto inapowadia wakati wa kudumisha usafi.

“Ni sababu ambayo huenda imepelekea idadi ya wanawake wanaotembelea saluni yetu kufanyiwa 'waxing’ kuongezeka,” aeleza.
Lakini katika makala yake 'End to War on Pubic Hair’, Dkt Emily Gibson wa Chuo Kikuu cha Western Washington, nchini Amerika anatoa wito kusitisha vita dhidi ya nywele hizi.

Kulingana na mtaalamu huyu, kasumba ya kulainisha eneo hili imesababishwa na nadharia zinazohusisha urembo na mavazi ya kuogelea kama vile 'bikini’, mitindo inayomhitaji mwanamke kuwa nyororo katika sehemu hii kumaanisha kuwa nywele hizi hazifai.
Anasema kuwa tafiti kadha za kimatibabu zinaashiria kuwa nywele hizo kamwe haziathiri usafi wala afya ya sehemu hii, na badala yake husaidia dhidi ya mikwaruzo inayosababisha majeraha.

Athari

Anasema kuwa kinena kilichonyolewa hukumbwa na hatari kubwa ya kupata maambukizi ya maradhi kama vile 'herpes’, kutokana na majeraha ambayo huwa wazi kwa virusi vinavyopatikana kwenye viungo vya uzazi.
Kulingana na Chris Hart, mshauri wa masuala ya mahusiano, suala la mahaba limewakanganya wengi kudhani kuwa nywele hizi huimarisha maisha haya.

You may like to read about jinsi ya kufanya mapenzi

This Jinsi ya kunyoa uke the best topic for informing

Ukitaka kunyoa uke nenda bafuni kwenye utulivu na usalama kisha chukua wembe wako ambao ni mpya usirudie kutumia wembe uliotumia siku za nyuma. Nyoa baada ya kuoga sasabu nywele au mavuzi yatakuwa yamelainika na kutoka bila tatizo. Ukiona unatokwa na vipele basi nenda duka la urembo la wanawake au duka la dawa wakushauri dawa ya kutumia kabla na baada ya kunyoa ili kuondoa upele ambao unawakatisha hamu ya tendo la ndoa wanaume pindi wakiviona. This post teach us many issues including informing the world the best hotels in dar and jinsi ya kunyoa uke for ladies 







0 comments: